photo tyyyyyyyyyyyyyyyy_zpsd20272cf.jpg

DR,SLAA;AMTAKA RAIS KIKWETE KUCHUKUA HATUA ZAIDI KWA VIONGOZI WOTE AWALIOHUSIKA KATIKA SAKATA LA ACCOUNT YA TEGETA ESCROW

DR SLAA Dk Willbrod Slaa amesema Rais Jakaya Kikwete asitumie kivuli cha mapumziko ya sikukuu kuchukua uamuzi dhidi ya Waziri wa Nisha...
Read More

MHESHIMIWA DR OMARI RASHIDI NUNDU AKIWA KATIKA PICHA TOFAUTI TOFAUTI,KATIKA HARAKATI ZA KUONDOA UMASIKINI NA KUWEKA MISINGI IMARA YA KIUTENDAJI NA KIUCHUMI

HAPA MH, NUNDU AKITOA CHETI KWA MWANAFUNZI WA SHULE YA ABUTWALIB ALIYEHITIMU KAGE FOUR NA KUINGIA KAGE THREE WANAFUNZI WA  ABUTWALIB...
Read More

Chenge, Ngeleja, kuadhibiwa ndani ya siku 21 zijazo imeelezwa hivyo

Chenge, Ngeleja, kuadhibiwa ndani ya siku 21 zijazo MH,CHENGE MH,NGELEJA Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alisema jana kuwa ute...
Read More

JOB NDUGAI ASEMA ,utekelezaji wa maazimio ya Bunge kwa upande wa mhimili huo wa dola utafanyiwa kazi mapema hapo mwakani.

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alisema jana kuwa utekelezaji wa maazimio ya Bunge kwa upande wa mhimili huo wa dola utafanyiwa kazi mapem...
Read More

JAMII WILAYANI TANGA YATAKIWA KUJITAMBUA NA KUWA TAYARI KUJISHUGHUSHA KATIKA SHUGHULI ZA KIMANDELEO NA KUACHA KUBWETEKA

Jamii wilayani Tanga yatakiwa kujitambua na kuwa tayari kujishughusha katika shughuli za kimandeleo na kuacha kubweteka. hayo yamesemwa n...
Read More

KWAHERI MAXIMO:HATIMAYE DAR YOUNG AFRICA WAMTUPIA MAXIO MAXIMO VIRAGO, HII NI BAADA YA MATOKEO YA MTANI JEMBE

Klabu ya Yanga na wawakilishi wa michuano ya shirikisho ya Afrika imewatupia virago rasmi makocha wabrazil Yanga hivi karibuni ilimsaji...
Read More

HATIMAYE MWANARIADHA WA MBIO ZA MARATHON RAIA WA KENYA RITA JEPTOO AMEGUNDULIWA KUWA ALITUMIA DAWA ZINAZOSISIMUA MISULI

Mwanariadha wa mbio za marathon raia wa Kenya RITA JEPTOO amegunduliwa kuwa alitumia dawa zinazosisimua misuli. Shirika la riadha nch...
Read More

TAIFA STARS hapo jana Mjini Mbabane, Swaziland Uwanjani Somhlolo imetoka Sare ya Bao 1-1 na Timu ya Taifa ya Swaziland

TAIFA STARS hapo jana Mjini Mbabane, Swaziland Uwanjani Somhlolo imetoka Sare ya Bao 1-1 na Timu ya Taifa ya Swaziland, Sihlangu, kati...
Read More

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH,MIZENGO KAYANZA PETER PINDA: WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII PANUENI HUDUMA ZA MSINGI KWA KUZISHIRIKISHA SEKTA BINAFSI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipanue wigo wa utoaji huduma za msingi kwa kuishirikisha zaidi sek...
Read More

Podolski ataka kuihama kilabu ya asernal

  Mchezaji wa Arsenal Lucas Podolski ataka kuihama kilabu hiyo ili kupata fursa za kuchezeshwa mara kwa mara.  mchezaji huyo wa Ujer...
Read More