PSPF YATOA MIFUKO 250 YA SARUJI, KWA MKUU WA WILAYA YA MKINGA BI MBONI MGAZA,KATIKA JUHUDI ZAKE ZA KUISADIA JAMII KATIKA MASUALA YA ...
Read More
Home / Archive for October 2014
Amri Kiemba, Shabani Kisiga na Haruna Chanongo wameamriwa kuondoka kwenye kambi ya na kurejea jijini Dar es Salaam.
Amri Kiemba, Shabani Kisiga na Haruna Chanongo wameamriwa kuondoka kwenye kambi ya na kurejea jijini Dar es Salaam. Wachezaji hao watatu...
Read More
MAN UNITED vs CHELSEA NGUVU SAWA LIGI KUU UINGEREZA
Nchini England Manchester United walitoka sare ya goli 1 -1 na Vijana kutoka darajani Chelsea katika uwanja wa Old Trafford. Haikuch...
Read More
SOKA LAPOTEZA MWANAMICHEZO MASHUHURI..APIGWA RISASI...
Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi. Jeshi la ...
Read More
MFANYABIASHARA wa Arusha Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani
MAREHEMU Timoth Mroki MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Ser...
Read More
CHADEMA, NCCR MAGEUZI, CUF NA NLD WAUNGANA LENGO KIKISAMBASATISHA CHAMA CHA MAPINDUZI"CCM"MADARAKANI 2015
CHADEMA, NCCR MAGEUZI, CUF NA NLD WAUNGANA LENGO KIKISAMBASATISHA CHAMA CHA MAPINDUZI"CCM"MADARAKANI 2015.... VYAMA vinne vya...
Read More
TANZANIA YAKABILIWA UHABA WA MADAKTARI WA VICHWA VIKUBWA.
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari wa...
Read More
CHINA YAMWAGA NEEMA KWA TANZANIA.
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza neema kubwa kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutoa dola za Marekani milioni 85 (Sh bili...
Read More
WAFU WAFUFULIWA.. HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA DUNIA HII.
Madaktari wa Australia wamefanikiwa kuwarejeshea uhai wagonjwa watatu baada ya kupandikizwa moyo uliokufa katika operesheni ya kwanza kuf...
Read More
BENKI YA EXIM YASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA STAND UNITED FC.
Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Kanda ya Ziwa, Bw. Justus Mukurasi (wapili kushoto) akibadilishana mkataba na Mwenyekiti wa Timu ya Mpi...
Read More
CHADEMA WAMLIPUA MWAKYEMBE.
MWENYEKITI wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Mkoa wa Iringa Joseph Lyata, amemlipua Mbunge wa...
Read More
KAMATI YA ZITTO YAWATIMUA MAOFISA WIZARA YA KILIMO.
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewafukuza kwenye kikao timu ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliyoongozwa na Kati...
Read More
WAFANYAKAZI 1,500 RELI KULIPWA MABILIONI.
TUME ya Usuluhishi na Migogoro ya Kazi (CMA) imelitaka Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) la mali zilizokuwa chini ya Shirika la Reli Tanzani...
Read More
DAFTARI LA WAPIGAKURA KUKAMILIKA APRILI 18.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza rasmi kuanza kuboresha Daftari la Wapigakura kuanzia mwezi ujao na kwamba itakamilisha kaz...
Read More
HOFU YA EBOLA YAZIDI KUZUA TAHARUKI MOSHI.
SERIKALI imetangaza kuwaweka kwenye karantini wahudumu wote, wanaomhudumia mgonjwa anayesadikiwa kuwa ana dalili za ugonjwa unaofanana ...
Read More
VITA YA UBUNGE YAINGIA KASHFA MISS TANZANIA.
WAKATI mtoto wa mbunge wa Temeke, Sitti Mtemvu akiandamwa na kashfa ya kughushi umri baada ya kushinda Miss Tanzania 2014, baba mzazi wa...
Read More
NYUMBA YA MIL. 89/- YAMTATIZA DC.
MIRADI ya ujenzi katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imeghubikwa na tuhuma za ufisadi, ambapo hivi karibuni imekabidhiwa nyumba ya m...
Read More
Subscribe to:
Comments
(
Atom
)

