|
Wananchi wa chama wa chama cha mapinduzi wakimlaki mbunge wa jimbo la tanga injinia omary
nundu,mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano wa hadhala,omary nundu
alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo ulofanyika katika mtaa wa Msikitini kata ya Ngamiani kati
barabara ya 14 jijini tanga
|
| Katibu wa Mbunge wa jimbo la Tanga Bwana Mwaveso aikiwa na diwani wa kata ya ngamiani kati Sele Bosi |
| Akina mama wa kikoba kautoka katika kikundi cha UWT 1 wakiwa katika moja ya vikao vyao vya vikoba, kikao kilifanyika barabara ya 17 jijini Tanga |
Kutoka kulia mwa picha ni mama Omary Nundu"mke wa mbunge wa jimbo la Tanga"
| Mama Omary Nundu akimsikiliza mbunge wa jimbo la Tanga Injia Omary Nundu.aliyekaribishwa na akina mama wa vikoba wa UWT1 |
| Injinia Omary Nundu,akichukuwa maelezo kutoka kwa akina mama wa vikoba wa UWT1 |


0 comments:
Post a Comment