|
Katibu Mkuu Taifa ABRAHMANI KINANA AKIHUTUBIA wananchi
katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga.
|
|
Katibu wa itikadi na uenezi nape nnauye akihutubia wananchi
wa Tanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tangamano.
|
|
Mbunge wa jimbo la Tanga Omary Nundu akihutubia wananchi
katika mkutano wa KINANA uliofanyika Tangamano Tanga.
|
|
Mkuu wa wilaya ya Tanga HALIMA DENDEGO (Watatu kutoka
kushoto) na viongozi wengine katika mkutano huo.
|
|
Mmiliki wa mabasi ya Raha Leo yanayofanya safari zake Tanga
Dar es salam akiwa na wazee wenzake katika mkutano wa katibu mkuu taifa CCM
ABRAHMANI KINANA uliofanyika Tangamano Tanga.
|
|
Baadhi ya wananchi wakitoa ujumbe wao kwa katibu mkuu Taifa
CCM katika mkutano huo.
|
|
Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara
wakimsikiliza katibu Mkuu Taifa CCM katika viwanja vya Tangamano.
|
|
Vikundi mbalimbali vya burudani vilitumbuiza katika mkutano
huo.
|


0 comments:
Post a Comment